Sasa unaweza kubuni na kutengeneza graphics nzuri, zenye wateja wengi wanaopatikana kupitia WhatsApp.
Graphics utakazoanza kutengeneza hivi karibuni (baada ya kujifunza) ni:
• Poster
• Business card
• Kalenda
• Makava ya vitabu
• Lebo za bidhaa
• Kadi za mwaliko
• Mabango
• Logo/Nembo rahisi
° Na nyingine nyingi —kwa kadiri unavyoendelea kuongeza uwezo....
Hivi sasa kuna App inayofanya kazi ya kudizaini graphics nzuri, kwenye smartphone. Hauhitaji kuwa na laptop au kompyuta nyingine kubwa.
Tuna kitabu (softcopy, PDF), tuna darasa la maelekezo ya moja kwa kupitia WhatsApp, na utapewa link ya kui-download App inayofaa kufanikisha ubunifu huu.
BEI YA MAFUNZO: TSH 10,000/-
Ukihitaji kitabu pekee, bila kuwepo kwenye group ni TSH 3,000/-.
___________
Wasiliana nasi:
📞0743 517 138
☎️0717 517 137
Comments
Post a Comment