Skip to main content

SIMPLIFIED GRAPHIC DESIGNING SCHOOL—ONLINE.

MPANGILIO KWA SURA.
✓ SURA YA KWANZA: Mambo Muhimu Ya Kufahamu Kuhusu Ubunifu Huu.
✓ SURA YA PILI: Viungo Vikuu Vitatu Vya Graphic Yoyote.
✓ SURA YA TATU: Mambo Mengine Yanayotumika Kupamba Viungo Vikuu Vitatu Vya Graphic.
✓ SURA YA NNE: Jinsi Ya Kuanza Unapotumia App Ya Kufanya Ubunifu Huu—Kwenye Smartphone.
✓ SURA YA TANO: Graphics Nzuri Na Rahisi Kuanza Nazo, Unapojifunza.
  • ~Poster
  • ~ Business Card (rahisi)
  • ~ Kalenda: Utangulizi Muhimu Kuhusu Ubunifu Wa Kalenda.
✓ SURA YA SITA: Jinsi Ya Kuboresha Ubunifu Wako Haraka.
✓ SURA YA SABA: Jinsi Ya Kutambua, Kuandaa Na Kuhudumia Wateja Wa Graphics Zako—Kupitia Whatsapp.

Comments

  1. i need to buy it what is the means of payments

    ReplyDelete
    Replies
    1. You just make payment via this M-pesa number:
      0743 517 138— EMMANUEL KIMANISHA.

      Delete
    2. So sorry Dr. It's possible to have it but the payment will be made in little up to ends of debit

      Delete
    3. What do you mean by that? Explain your suggestion.

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Ubunifu wa Graphics Za Kuuza—Mtandaoni.

Sasa unaweza kubuni na kutengeneza graphics nzuri, zenye wateja wengi wanaopatikana kupitia WhatsApp.  Graphics utakazoanza kutengeneza hivi karibuni (baada ya kujifunza) ni:    • Poster    • Business card    • Kalenda    • Makava ya vitabu    • Lebo za bidhaa    • Kadi za mwaliko    • Mabango    • Logo/Nembo rahisi    ° Na nyingine nyingi —kwa kadiri unavyoendelea kuongeza uwezo.... Hivi sasa kuna App inayofanya kazi ya kudizaini graphics nzuri, kwenye smartphone. Hauhitaji kuwa na laptop au kompyuta nyingine kubwa. Tuna kitabu (softcopy, PDF), tuna darasa la maelekezo ya moja kwa kupitia WhatsApp, na utapewa link ya kui-download App inayofaa kufanikisha ubunifu huu. BEI YA MAFUNZO: TSH 10,000/- Ukihitaji kitabu pekee, bila kuwepo kwenye group ni TSH 3,000/-. ___________ Wasiliana nasi: 📞0743 517 138 ☎️0717 517 137 📧 emmanuellibraries@gmail.com