MPANGILIO KWA SURA. ✓ SURA YA KWANZA: Mambo Muhimu Ya Kufahamu Kuhusu Ubunifu Huu. ✓ SURA YA PILI: Viungo Vikuu Vitatu Vya Graphic Yoyote. ✓ SURA YA TATU : Mambo Mengine Yanayotumika Kupamba Viungo Vikuu Vitatu Vya Graphic. ✓ SURA YA NNE: Jinsi Ya Kuanza Unapotumia App Ya Kufanya Ubunifu Huu—Kwenye Smartphone. ✓ SURA YA TANO: Graphics Nzuri Na Rahisi Kuanza Nazo, Unapojifunza. ~Poster ~ Business Card (rahisi) ~ Kalenda: Utangulizi Muhimu Kuhusu Ubunifu Wa Kalenda. ✓ SURA YA SITA: Jinsi Ya Kuboresha Ubunifu Wako Haraka. ✓ SURA YA SABA: Jinsi Ya Kutambua, Kuandaa Na Kuhudumia Wateja Wa Graphics Zako—Kupitia Whatsapp.
Emmanuel Online Schools And Libraries.